Two Songs: "Birth and Every Step is Important!" | Sing with Ubongo Kids | Swahili Verses
2020 · Math · Math
Two Songs: "Birth and Every Step is Important!" | Sing with Ubongo Kids | Swahili Verses
Two Songs: "Birth and Every Step is Important!" | Sing with Ubongo Kids | Swahili Verses
2020
4m
Math
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: /ubongokids Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.