Mathematics | Learn Math with Kids' Wisdom | Educational Content in Swahili
Je unajua tofauti kati ya +, -, x, na kadhalika? Jifunze matendo ya hisabati kutumia huu wimbo ya kuelimisha kutoka katuni ya Ubongo Kids! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
WELCOME TO THE KENYAN HISTORIAN | Kenya's Ultimate Channel for Captivating Documentaries. | Thank You
PrePrimary Maths
SSS10 Math
Celebrating STEM: counting and multiplication
Year1 Maths
Year4 Maths
SS1 Further Mathematics
3rd Grade Math
Mathematical Literacy Grade 10
Second Grade
Exponents (English)
2nd Grade Homeschool Curriculum
Les limites 1Bac
Year6 Maths
Year 9 Math
SS3 Further Mathematics
JSS3 Mathematics
MATHS TOPIC QUESTIONS
ECZ MATHS GRADE 12
WAEC 2019 MATHS QUESTIONS THEORY
GRADE 8 MATHEMATICS
SSS12 Math
SSS11 Math
SSS 1 Mathematics
تبصرے
1 تبصرے
Je unajua tofauti kati ya +, -, x, na kadhalika? Jifunze matendo ya hisabati kutumia huu wimbo ya kuelimisha kutoka katuni ya Ubongo Kids! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na
