Imba Pamoja | Huruma Song | Ubongo Kids #singalong #kidseducation
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: /ubongokids /ubongotz Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
Primary 1 English
Primary 2 English
Nursery Rhymes | Words & Sounds
SS 1 English
Year1 English
Level 1 English | Little Fox
PrePrimary English
KS1 English
JS 2 English
Year2 English
SSS12 English
Year3 English
Pry3 English
Storytime with Akili and Friends
Pry1 English
Level 3 English | Little Fox
English Advanced C1
Alphabet Letter Hunt!
Learn To Talk with Ms Rachel
Year6 English
Level 9 English | Little Fox
Pry2 English
The Alphabet in Magical Lands
Year5 English
تبصرے
1 تبصرے
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: /ubongokids /ubongotz Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Ca
