Platform Ft Marioo - Ananipenda (Lyric Video)
2023 · African · African
Platform Ft Marioo - Ananipenda (Lyric Video)
Platform Ft Marioo - Ananipenda (Lyric Video)
2023
3m
African
Platform and Marioo present the Lyric video to Ananipenda. Available to Stream / Download: http://africori.to/ananipenda.oyd © 2023 Abbah Music CHORUS Ananipenda Nikinuna nuna ananibembeleza Ananipenda Moyo ushazama kwake ety ameniweza VERSE Wengi wanasema ni ushamba kupenda Ama kupendwa Ila Leo nataka niwaambie Wala sioni kama ni ushamba Kupenda usipopendwa Ila aah leo acheni niwaambie Akinuna siwezi kulala Moyo unaniuma nakosa raha namuwaza yeye Nikinuna hawezi kulala Moyo unamuuma anakosa raha ananiwaza Ameitawala akili namdhibiti anidhibiti eeeh alipo nipo nami nilipo yupo Ooh ananipenda CHORUS Ananipenda Nikinuna nuna ananibembeleza Ananipenda Moyo ushazama kwake ety ameniweza VERSE Nami samaki ye ndo maji Nampatia nampatia Mi mwenyewe siwezi kula Yani chakula hakipiti Hata nikikunywa maji Ananipatia ananipatia Aah kama sio mm niwapi angepata faraja anajiuliza aah Eeeh na kama sio yeye niwapi Ningepata faraja mi najiuliza aah Eeh Anapendaga aah kila mara anione Eeh Alipo nipo nami nilipo yupo Aaah nasema CHORUS Ananipenda Nikinuna nuna ananibembeleza Ananipenda Moyo ushazama kwake ety ameniweza Distribution by Africori: http://www.africori.com #Platform #Marioo #Ananipenda