Jay Melody_Sugar (Official Video) (SKIZA Code 5804154)
2022 · پاپ · پاپ
Jay Melody_Sugar (Official Video) (SKIZA Code 5804154)
Jay Melody_Sugar (Official Video) (SKIZA Code 5804154)
2022
3m
پاپ
SKIZA ⬇️ Sugar 5804154 Sugar lyrics 🔽 Sweet like a kuku tamu sana sweet like a soup am going to die kwenye dimbwi sijiwezi nimezama mi corazon my baby banana penzi hulifichi kama ni sindano itachoma mi siambiliki hata wakaniroge kigoma ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paah mpenzi wangu nishike nisije nikapaa kama mvua na mawingu kama mwezi na anga sina jambo kwa jinsi umenikamata tena usinipege kiduchu (Sugar x3) my life is nothing without you (Sugar x3) X2 mmmh mmh nikoleze my darling eh na tukichoka tuka lale wanasema hatari eh lakini me nimekubari eh kileleni ndo pale basi tufike sare sare shika ndizi mshare nikuvue kama kambale vile hawapumui wakerekwa maadui hao wanafki watajua hawajui ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paah mpenzi wangu nishike nisije nikapaa kama mvua na mawingu kama mwezi na anga sina jambo kwa jinsi umenikamata tena usinipege kiduchu (sugar x3) my life is nothing without you (sugar x3) X2 Audio by: Mocco Genius Directed by:Travellah #jaymelody #sugar