#JOEL LWAGA# NAFASI NYINGINE Lyrics (Mmmmh mmmmh mmmmmh) Mavumbi umenifuta yote Habari umebadili yooote Aibu umeondoa yootee Machozi umenifuta yoteee Mmmh Umeniita mwana niliyekuwa mtumwa Umenisimamisha katika mwingi wa Neema Na umeniketisha mahali pa juu sana Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Ninaucheka wakati uliopita nikiufurahia ule ujao Maana umenipa Nafasi nyingne (umenipenda tena bila kuchoka) Nafasi nyingine (Neema yako imeniinua tena) Nafasi nyingne (Umenipa tena bila kukoma) Nafasi nyingne Mungu wa Neema Neema aaaah Mungu wa Neema Neema aaaah aahaaa Madaktari walisema sitapona tena Walimu walisema nitafeli Ndugu na jamaa walisema nimeshindika Na kumbe wewe waniwazia mema Umri uliposogea walisema ndoa si fungu langu Nilipofiwa na mpendwa yule walisema sitaweza tena Baada tu ya kufilisika sikumwoma wa kuniombea Na kumbe ndani yao walifurahi niliyopotia Ninaucheka wakati uliopita Niliufurahia ule ujao *2 Maana umenipa Nafasi nyingne (umenipenda tena bila kuchoka) Nafasi nyingine (Neema yako imeniinua tena) Nafasi nyingne (Umenipa tena bila kukoma) Nafasi nyingne Mungu wa Neema Neema aaaah Mungu wa Neema Neema aaaah aahaaa (Bwana umenipa) Nafasi Nyingne (Kweli umenipa) Nafasi nyingne (Mimi nisiyestahili umeniipa) Nafasi nyingne Mungu wa Neema (Wa Neema aaaah) Mungu wa Neema aaaaah Nafasi Nyingine is a great Gospel and Inspirational Song that means "Another Chance" its another HIT song from minister JOEL LWAGA who is a multi award winning artist and male artist of the year 2019 EAST AFRICA Audio Production by : Taz Goemi Studio : Fishers Records Video by : Director Ivan
कलाकार
Joel A. Lwaga
Singer
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
Rihanna | Megamix [2022]
Mbosso - Pawa (Official Lyric Video)
Skeng - She (Official Music Video)
Jahvillani, Countree Hype - Nudity (Official Video)
Avicii, Maroon 5, Selena Gomez, Alan Walker, Miley Cyrus, Ellie Goulding ⛅️ Summer Vibes Deep House
Your Idol Song Scene | KPOP DEMON HUNTERS (2025) Movie CLIP HD
Fally Ipupa - Mayanga (Clip officiel)
Your Idol | Kpop Demon Hunters | Remixed Version
Lionel Richie, Phil Collins, Air Supply,Bee Gees, Chicago, Rod Stewart - Best Soft Rock 70s,80s,90s
Vybz Kartel - Ignite The World (Official Music Video)
Busy Signal, Prettii Prettii - Mek Eh Bounce (Official Music Video) ft. Konshens
Fally Ipupa - Un coup feat. Dadju (Clip officiel)
Rani Rastaciti - Illicit (Official Video)
Ciara, Diamond Platnumz - Low (Official Music Video)
Skillibeng - Ivany (Official Audio)
Vybz Kartel - Colouring This Life
Hongo Ya Karao Vol. II - Toxic Lyrikali, Mauru Gwash & Kapitani (Official Video)
Harmonize Ft Jay Melody - Imeshindikana (Official Visualizer)
MAKAMANDA - HUSTLER (Official Video)
Nandy, Mbosso & S2kizzy - Malaika (Official Music Video)
Zuchu - Amanda (Visualizer)
Okello Max - Taya (Official Lyric Video)
Diamond Platnumz ft Jux - JOY (Ikweji) Official Music Video
Mejja - Mboka [Official Video]
टिप्पणियाँ
1 टिप्पणियाँ
