M2Box Logo

Jay Melody - Turudiane (Official Lyrics)

पॉप
वर्ष2025
अवधि3m

LYRICS Onaa naaa nana nanaaaah Anaitwaje uyo jay Jay once again Nilikukosea naomba unisamehe Nishajionea kwamba sina lolote Bila wewe siwezi endelea Naomba tuendelee Yalikua matamu mapenzi yetu Yalikua super aaah Ex dua gani uliyoisoma ah Kama ndo chamoto nimekiona Aku siwezi Kujifanya niko sawa kumbe inachoma Inaumiza Nimeshindwa kukaza mwanzako natakaa Turudiane Mwenzio nataka Turudiane Mwenzako nataka aah Turudiane Mwenzio nataka Turudiane Once again Verse 2 Saa sita saa saba usiku Nitakupigia nna kitu Nawe pokea japo tu Nikuongeleshe kakitu Huku nje kila mtu wa mtu Nishakua single masiku Basi nielewe kiduchu Tumalize hili beaf Ex dua gani uliyoisoma ah Kama ndo chamoto nimekiona Aku siwezi Kujifanya niko sawa kumbe inachoma Inaumiza Nimeshindwa kukaza mwanzako natakaa Nimeshindwa Ku move on Nimeshindwa Ku move on Hata siwezi Ku move on Wanawezaje Ku move on Stream now in all digital platforms: Audiomack: https://audiomack.com/realjaymelody/song/turudiane Connect: With Jay Melody instagram: https://www.instagram.com/realjaymelody Tiktok: https://www.tiktok.com/@realjaymelody @2025 Jay Melody All rights reserved Learn more #turudiane #jaymelody

कलाकार

Jay melody

Singer

आपको ये भी पसंद आ सकते हैं

पॉप7.9

Best Chill Acoustic Love Songs Playlist 2023 ❤️ Soft Acoustic Cover Popular Love Songs Of All Time

पॉप7.0

Cyber Sex

पॉप7.9

Baahubali 2 Video Songs Telugu | Saahore Baahubali Full Video Song|Prabhas, Ramya Krishna | Bahubali

पॉप7.6

Michael jackson greatest hits da

पॉप7.0

Moana 2 | Dwayne Johnson Performs "Can I Get a Chee Hoo?"

पॉप7.3

Himra Lil Wayne

पॉप7.2

Une nuit à Paris

पॉप7.6

Michael Jackson - Human Nature (Audio)

पॉप7.9

Taylor Swift - The Fate of Ophelia (Lyrics)

पॉप7.1

Westlife - My Love (Lyrics)

पॉप7.4

Ben 10 | Kevin Has Another Omnitrix and Duplicates of Ben's Aliens | Cartoon Network

पॉप7.6

Zephanie dreams of being a famous singer like Sarah Geronimo | MMK (With Eng Subs)

पॉप7.6

billie eilish - when the party's over // español + vídeo

पॉप7.1

Miley Cyrus - Younger You (From the "Hannah Montana 20th Anniversary Special")

पॉप7.1

ZAYN - Sideways

पॉप7.3

Risk It All

पॉप7.0

Katy Perry - The One That Got Away (Sub. Español + Lyrics)

पॉप7.4

Tame Impala, JENNIE - Dracula (JENNIE Remix - Official Lyric Video)

पॉप7.8

ONE OR EIGHT / TOKYO DRIFT (Music Video)

पॉप7.1

Lana del Rey - Cinnamon Girl (Lyrics)

पॉप7.2

Charlie Puth - Home (feat. Hikaru Utada)

पॉप7.1

The Script - The Man Who Can't Be Moved (Lyrics)

पॉप7.7

Alex Warren - FEVER DREAM (Official Video)

पॉप7.1

sombr - back to friends (Lyrics)

टिप्पणियाँ

1 टिप्पणियाँ

Ashley KolokoJul 7, 2025