Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. /ubongokids /ubongokids /ubongotz
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
SS3 Mathematics
Quadratic functions
Year7 Maths
Year8 Maths
Maths
Year 7 Math
Year 9 Math
Grade 1 Math
JSS 1 Junior Mathematics
Grade 4 Math
JSS7 Math
Year 5 Math
Mathematics class
Grade 2 Math
Mathematical Literacy Grade 10
JSS2 Mathematics
Polygon Video 1
Kelas 7 Matematika
Grade 8 Mathematics
Kelas 9 Matematika
Functions and their graphs | Algebra II | Khan Academy
Video 1: Cube Volume
Kelas 6 Matematika Pembelajaran Menurut Topik
Class 1 Mathematics
टिप्पणियाँ
1 टिप्पणियाँ
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1
