Ubongo Kids Webisode 42 - Tumsaidie Luwi! | Animal Kingdom
Burudika na ujifunze kuhusu kundi la wanyama kupitia katuni ya Ubongo Kids! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
Vous aimerez aussi
Year 1 | English Lessons
JSS3 English Language
JSS2 English Language
Pry3 English
Grade 10 English
Pry 1 Primary English
Grade 11 English
Year 2 | English Lessons
English Conversation Primary 1
Kindergarten - 5 to 6 years old
Helping your child to learn with CBeebies
Sesame Street ABC Songs Playlist
MTN Spelling BEE
English Grammar 4
Teach a Child to Read Videos
Phonics - Words Beginning With... | Alphablocks
The Furchester Hotel
Cours CP/1AP دروس السنة الأولى ابتدائي
Teach Reading with Phonics - American English Pronunciation!
Ms Rachel Visits Places in the Community
Learn Animals with Ms Rachel - Farm Animals, Pets and Zoo Animals!
Primary 1 - 1st Term
Popular Lessons
Primary 2, Connect, English for kids | English for Primary 2
Commentaires
1 commentaires
Burudika na ujifunze kuhusu kundi la wanyama kupitia katuni ya Ubongo Kids! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zo
