STREAM/DOWNLOAD TTTV2: https://linktr.ee/rapcha LYRICS Someone is playing with me kuna mtu ananichezea Someone is playing with me Nashuka kiuchumi ndoa yangu inachafuka Kuna mchezo unaendelea they are playing with me Muda mchache kwenye ndoa maumivu yamenizidia Huu ni mwezi wa tano unaingia Nkitazama muda ni Saa sita usiku, baada ya kumtafuta sana huyu mwenzangu ndo nyumbani anaingia Niambie umetoka wapi Salma Hii kesi isidingo si tumetoka kuisolve jana Isingefika 40 missed calls ka ulikua kwa mama Nakuambiaga huniheshimu Salma unanidharau sana story zako mjini naambiwa Hamna kitu kinaniuma kama habari kwamba mi namegewa Unanipandisha hasira navokuambia ukweli afu unanijibu kwa kufoka kama unaonewa Hebu Leta simu yako, fungua!!! Salma usinipandishie, icho kiburi chako ntakupasua Naichukua nianze kuipekua akaja kuikwapua Akili ikaflip, gun nkanyanyua Salma Kanijia juu, Nimechoka maisha ya kubaniwa Bora tu tuachane umezidi kunitishia Story za malaya wako nikikuambia unajifanya mkali Kama we kidume fyatua.. Gun shots!! [Chorus: Vanilla] Nilikupenda mpaka kufuru nikawa nawaza jidhuru ukiwa mbali Tena nikakupa uhuru na ukashindwa shukuru ikawa ndo dosari Ukaenda ku date na wale Mi wakuwa nasota we ule Na mie kukuacha siwezi Ni bora dunia tuiache aah [Verse 2: Rapcha] Fahamu zinarudi akili imeduaa Salma anateseka chini baada ya risasi nne kumvaa Hofu kubwa inaniingia nikiangalia Damu yake inavyonililia chini inatapakaa Ndo Idea ya kukamatwa ikanijia Nikajua haitopita muda mapolisi watanitimbia Ila nguvu zote zishaniishia Nikiumia kuona safari yetu ya mapenzi ilipokwamia Dhambi inaanza kunitafuna Natamani nirudishe muda nyuma niongee na Salma Najiona mnafki kwa kumwaga damu kwa makosa ambayo moyoni najua kuwa na mimi nafanya Itanitesa maisha yangu yote hii memory Ego zetu zimefanya tumeharibu destiny Vita na Insecurities hakukuwa na honesty Na loyalty marafiki wakatunyima privacy litimie agano Nahisi Mungu ametuchagua mi na wewe tuwe mfano Salma, hukustahili hii adhabu ninakiri Naomba kabla haujafi
You Might Also Like
Professor Jay feat Ferooz - Nikusaidiaje (Official Video)
Msodoki Young Killer - SINAGA SWAGGER (remix)
Kayumba - Maumivu(Official Video)
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
Toxic Lyrikali - SICK (Official Music Video)
Tyla - Bliss (Official Audio)
Makhadzi Entertainment - Win is a Win (Official Audio)
DRAKE - NOKIA (Official Music Video)
Hottest Afrobeat Mix 2023 | Afrobeat 2023 Mix by Musicbwoy
Omah Lay Greatest Hits Full Album 2022 Omah Lay Music Songs Collection 2022
2025 TOP AFROPARTY VIDEO MIX 2025 AMAPIANO MIX BEST NAIJA AFROBEAT MIX BY DJ SPARK FT DAVIDO, WIZKID
Akon - Best Songs Collection 2023 - Greatest Hits Songs of All Time - Music Mix Playlist 2023
DJ Smallz, Zinedine x Sguche & 031 Choppa – ZEP (Official Audio) feat. Uncool MC
GIMS & Soolking - APRÈS VOUS MADAME (Clip Officiel)
GIMS - C'EST FINI feat. Mohamed Ramadan (Audio Officiel)
DJ ARAFAT feat naza - Ventripotent
Zuchu - Antenna (Official Music Video)
D Voice feat Zuchu - Nani (Official Music Video)
Mbosso - Ova (Official Music Video)
Jay Melody - Siyawezi (Official Video)
Diamond Platnumz - Naanzaje (Official Music Video)
Jay Melody - Wa Peke Yangu (Official Video)
Diamond Platnumz - Yatapita (Official Music Video)
Rayvanny Ft Zuchu - Number One (Official Video)
Comments
1 Comments
